Ishara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ishara ni kitu kinachobainika kwa macho kinachodokeza kutokea kwa jambo fulani.Ishara zipo za aina nyingi,kuna ishara za barabarani ambazo huwaongoza madereva n...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Ishara''' ni [[kitu]] kinachobainika kwa [[macho]] kinachodokeza kutokea kwa jambo fulani.

Ishara zipo za aina nyingi,: kuna ishara za [[Barabara|barabarani]] ambazo huwaongoza [[Dereva|madereva]] na wote wanaotumia barabara pindi wawapo barabarani.

Pia kuna ishara wanazotumia wanadamu kuwasiliana. Ishara hizihizo nazo zipo tofauti tofautitofautitofauti kwani kuna ishara wanazotumia [[Rafiki|marafiki]] walioshibana kwa kuwasiliana, kama vile kutumia [[vidole]] au [[kichwa]] lakini pia kuna [[lugha ya ishara]] ambayo hutumiwa na [[Mlemavu|walemavu]] wa [[masikio]] au wenye usikivu hafifu wakati wa kuwasiliana ana kwa ana au kupitia luninga[[runinga]].
 
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Mawasiliano]]