Cheti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Cheti''' (kutoka [[Kiingereza]]: ''certificate'') ni [[hati]] anayopewa [[mtu]] kwa ajili ya kutambuliwa kuwa naana [[sifa]] fulani. Cheti huweza kutolewa kwa mtu aliyehitimu mafunzo fulani au aliyefanikiwa kwa jambo fulani. Vyeti vingi hutolewa kama tuzo kwa mtu aliyefanikiwa kuhusu jambo fulani.
 
Cheti huweza kutolewa kwa mtu aliyehitimu mafunzo fulani au aliyefanikiwa kwa jambo fulani. Vyeti vingi hutolewa kama [[tuzo]] kwa mtu aliyefanikiwa kuhusu jambo fulani.
Vyeti vipo vya aina mbalimbali, kuna vyeti vya kitaaluma,vya kuzaliwa,vya ndoa au vya kimichezo.
 
Vyeti vipo vya aina mbalimbali, kuna vyeti vya kitaaluma, vya kuzaliwa, vya [[ndoa]] au vya kimichezo.
 
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Elimu]]