98,226
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
'''Mwakilishi''' ni [[mtu]] anayemwakilisha
Wawakilishi wapo wa aina tofauti: kuna mwakilishi wa [[wilaya]] au [[jimbo]], huyu hujulikana kama [[mbunge]]. Pia kuna mwakilishi wa [[kata]] fulani ambaye hujulikana kama [[diwani]], lakini pia kuna mwakilishi wa [[nyumba]] [[Kumi (namba)|kumi]] huyu hujulikana kama [[mjumbe]].
Wawakilishi wa [[kampuni]] binafsi na [[serikali]] hujulikana kama [[Wakala|mawakala]].
{{mbegu-sheria}}
[[Jamii:sheria]]
|