Shirika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Shirika la Reli (Tanzania).jpg|thumb|Kazi ya shirika la reli (Tanzania)]]
'''Shirika''' ni [[kitengo]] kinachojumuishwa na [[kundi|kikundi]] cha watu wengi, kama vile [[taasisi]] ambayo ina lengo lililounganishwa kwa [[mazingira]] ya nje.Shirika ni kitu chenye kumilikiwa pamoja au kumilikiwa kwa ubia.Pia shirika ni chombo au asasi ambayo watu wake wanafanya kazi kwa kushirikiana pamoja kwa lengo la kusimamia na kutekeleza shughuli maalumu walizojipangia na kupata matokeo yatayowanufaisha wote pamoja kutokana na ushirika wao katika kushiriki kwenye shughuli walizojipangia.
 
{{fupi}}