Agenti (fedha) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<center><small> '''Fedha''' kwa maana ya malipo au sarafu angalia makala ya '''[[pesa]]''' </small> </center>
[[Picha:SilverUSGOV.jpg|thumb|Fedha]]
'''Fedha''' (kutoka Kiarabu <big>فضة</big>; kisayansi pia: '''ajenti'''/agenti kutoka [[Kilatini]] "argentum") ni [[elementi]] na [[metali]] yenye kifupi cha '''Ag''' na [[namba atomia]] 47 katika [[mfumo radidia]]. [[Uzani atomia]] ni 107.86. Ajenti huyeyuka kwa 1234,93 K (961,78&nbsp;°C) na kuchemka kwa 2435 K (2162&nbsp;°C).
 
Kiasili yatokea kama metali nyeupenyeupe na laini au kama mchanganyiko katika madini. Kati ya metali zote fedha ni wayaikaji na inapitisha vizuri umeme.