Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 169.255.184.201 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Panorámica interior del Teatro Colón (cropped).jpg|thumb|Tamthilia]]
[[Image:Honoré Daumier 026.jpg|right|thumb|400px|[[Mchoro]] unaonyesha namna watu wanavyocheza tamthilia.]]
'''Tamthilia''' (pia: '''Tamthiliya''' au '''Tamthilia-Mchezo''', kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni moja kati ya sehemu za [[utunzi]] wa [[hadithi]] au [[fasihi simulizi]] ([[ngano]] au hadithi) ambayo mara nyingi tunaona katika kumbi za maonyesho au kupitia [[televisheni]], au tunasikia kupitia [[redio]].