Majadiliano ya Wikipedia:Makala kwa ufutaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mussa m. Sabbath: mjadala mpya
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 2:
 
Mimi ni mgeni humu wiki sijawahi kuandika makala au kujua aliyomo humu. Je, nifanye nini basi? Nielewesheni basi. Sio kusema kufuta makala maana ngani? Mimi si mtu wa kuleta vurugu bali, amani nikosoeni nilipokosea nami nitajua kosa langu. Asanteni!
 
Habari Mussa
Ni vyema kupitia nguzo za Wikipedia na kujifunza zaidi kuepuka kufutwa kwa Makala zako. Soma [https://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Five_pillars Nguzo za Wikipedia]
'''[[Mtumiaji:Czeus25 Masele|Czeus25 Masele]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Czeus25 Masele|majadiliano]])''' 15:49, 5 Aprili 2020 (UTC)
Return to the project page "Makala kwa ufutaji".