Ukindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
[[Picha:Phoenix reclinata3.jpg|thumb|250px|Ukindu]]
'''Ukindu''' ni [[jani]] au kitembwe cha [[mkindu]] (''Phoenix reclinata''). Jani hutumika kusukia [[ukili|kili]] za kushonea [[kikapu|vikapu]], [[mkeka|mikeka]] au [[kitanga (mkeka)|vitanga]]. Kitembwe hutumika kwa kusokota [[kamba (kifaa)|kamba]]. Mmea huu, mara nyingi hupatikana katika mito,sehemu zenye kupitiwa na maji mara kwa mara.
 
{{mbegu}}