Tofauti kati ya marekesbisho "Vita Kuu ya Pili ya Dunia"

Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
== Mwanzo wa vita ==
Vita hii ilianza huko [[Ulaya]] tarehe [[1 Septemba]] 1939 kwa mashambulizi ya [[Wajerumani]] dhidi ya [[Poland]]. Wengine huhesabu mashambulizi ya [[Japani]] dhidi ya [[Uchina]] tarehe [[7 Julai]] [[1937]] kuwa mwanzo wa vita. Mwisho wake ulikuwa huko [[Ulaya]] tarehe [[9 Mei]] 1945 halafu huko [[Asia]] tarehe [[2 Septemba]] 1945.
 
== Vita katika Ulaya ==
Mashambulizi ya Wajerumani dhidi Poland yalisababisha hali ya vita kati ya Ujerumani kwa upande moja na [[Ufaransa]] na [[Uingereza]] kwa upande mwingine waliokuwa na [[mkataba]] wa kulindana na Poland. Serikali za [[Australia]], [[New Zealand]], [[Nepal]], [[Afrika Kusini]] na [[Kanada]] zilishikamana na Uingereza kwa kutangaza vita dhidi ya Ujerumani. [[Urusi]], uliokuwa na mkataba wa siri na Ujerumani, ulichukua nafasi ya kuteka sehemu kubwa za Poland ya Mashariki.
Anonymous user