Chui milia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Chui milia huWinda wanyama ... hawawaVindi ;-)
No edit summary
Mstari 24:
''[[Panthera t. tigris]]''<br />
}}
'''Chui milia''' (pia: '''babara''' kutoka [[Kiarabu]]: [[:ar:ببر|babar]]; Kisayansi: ''Panthera tigris''; Kiingereza: ''tiger'') ni mnyama mkubwa mla nyama wa familia ya felidae katika ngeli ya mamalia kwa hiyo chui milia hufanana na paka mkubwa.
 
Chui milia wanaishi katika Asia katika pembetatu kati ya [[Uhindi]], [[Siberia]] ya kusini na [[Indonesia]]. Mazingira wanayoendelea ni misitu. Siku hizi idadi ya chui milia imepungua sana kutokana na upotevu wa maeneo na kuvindwa.