Rayvanny : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
spam
Mstari 23:
Baadaye Natafuta Kiki, Sugu ambayo imetolewa kama wimbo wa ziada tu hasa ukizingatia umechukua biti ya Bow Wow (What's My Name). Halafu Mbeleko, Shikwambi, Zezeta na Kijuso aliyoimba na [[Queen Darleen]], Pochi Nene aliyoimba na s2kizzy na baadaye Mwanza wimbo ambao aliimba na msanii mwenzie [[Diamond Platnumz]]. Wimbo huo ulifungiwa na Baraza la Sanaa nchini Tanzania [[BASATA]] kutokana na kutokuwa na [[maadili]] mema hivyo kufanya wimbo huo kufungiwa kupigwa kwenye [[vyombo vya habari]] nchini [[Tanzania]].
 
Baada ya wimbo huo kufungiwa yeye na Diamond walitoa wimbo uitwao Tetema<ref>[https://beatspice.co/download-mp3/rayvanny-tetema-ft-diamond-platnumz/ Tetema]</ref>, wimbo ambao ulipendwa na watu wengi kuufanya kuwa na watazamaji wengi kwenye [[mitandao ya kijamii]] kwa muda mfupi sana<ref>{{Cite web|title=Rayvanny - Tetema ft. Diamond Platnumz » Beatspice|url=https://beatspice.co/download-mp3/rayvanny-tetema-ft-diamond-platnumz/|work=Beatspice|date=2020-04-04|accessdate=2020-04-04|language=en-US|author=streethiphop}}</ref>..
 
==Albamu==