Tofauti kati ya marekesbisho "Chui milia"

191 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
{{Uainishaji
| rangi = #D3D3A4
| jina = Chui milia
| picha = Tigerramki.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Chui milia wa [[Bengali]]
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| ngeli = [[Mamalia]] (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogowatoto wao)
| oda = [[Carnivora]] (Wanyama mbua)
| nusuoda = [[Feliformia]] (Wanyama kama [[paka]])
| familia = [[Felidae]] (Wanyama walio na mnasaba na paka)
| nusufamilia = [[Pantherinae]] (Wanyama wanaofanana na [[chui]])
| jenasi = ''[[Panthera]]''
| spishi = ''[[Panthera tigris]]''
| bingwa_wa_spishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)
''[[Panthera t. tigris]]''<br />
}}
'''Chui milia''' (pia: '''babara''' kutoka [[Kiarabu]]: [[:ar:ببر|babar]]; Kisayansi[[jina la kisayansi]]: ''Panthera tigris''; kwa [[Kiingereza]]: ''tiger'') ni [[mnyama]] mkubwa mla nyama[[Walanyama|mlanyama]] wa [[Familia (biolojia)|familia]] ya felidaeFelidae katika ngeli ya [[mamalia]], kwa hiyo chui milia hufanana na [[paka]] mkubwa.
 
Chui milia wanaishi katika [[Asia]] katika pembetatu kati ya [[Uhindi]], [[Siberia]] ya [[kusini]] na [[Indonesia]]. [[Mazingira]] wanayoendelea ni [[misitu]]. Siku hizi [[idadi]] ya chui milia imepungua sana kutokana na upotevu wa maeneo na kuvindwakuwindwa.
 
[[Chakula]] chao ni nyama inayopatikana kwa kuwinda wanyama wengine. Kama wanyama wengi wanaofanana na paka, chui milia hupendelea kuvindakuwinda pekeepeke yake. Kila mmoja ana eneo lake analoweka [[alama]] za kojo[[mkojo]] na kuiteteakulitetea dhidi ya chui milia wengine.
 
Ukubwa wa wanyama hao hutofautiana kutokana na maeneo yao na [[nususpishi]] zao. Wale wa [[Sumatra]] ni wadogo, wakiwa na [[urefu]] wa [[mwili]] (pamoja na [[kichwa]] bila [[mkia]]) [[sentimita]] 140 pekee na [[uzito]] wa 120 [[kg]] 120. Mkubwa zaidi ni chui milia wa Siberia mwenye urefu unaopita [[mita]] 2 na uzito wa kilogramu 150 (jike) hadi 250 (dume). Aina ya Siberia ni kubwa kushinda [[simba]] Mwafrikawa [[Afrika]].
Jike anazaa wadogowatoto 2-3 na kuwatunza kwa miaka 2 - 3. Baadaye wanapaswa kujitafutia eneo lao. Kwa [[umri]] wa miaka 3-4 anaweza kuzaa na kufikia umri wa miaka 20 - 25.
 
[[Picha:Tiger distribution3.PNG|thumb|300px|left|[[Ramani]] inaonyeshainayoonyesha maeneo yaliyokaliwa na chui milia mnamo [[1900]] (chungwa) na eneo linalobakilililowabakia leo (nyekundu).]]
== Viungo vya Njenje ==
{{commons|Panthera tigris}}
* [http://swahili.cri.cn/1/2006/06/22/1@38528.htm Redio China: Habari za chui milia huko China (sw)]
 
{{mbegu-mnyama}}
{{commons|Panthera tigris}}
 
[[Jamii:Paka na jamaa]]