Tofauti kati ya marekesbisho "Walanyama"

45 bytes added ,  miezi 5 iliyopita
no edit summary
 
Wengi wao hula nyama hasa na hapa iko msingi wa jina la kundi "carnivora" (walanyama). Kuna pia spishi kama [[rakuni]] na [[dubu]] kadhaa ambao hula kila kitu yaani nyama pamoja na matunda, jozi, nafaka na majani kadhaa. Spishi chache zimekuwa walajani kama vile [[Panda|panda]] ambao ni dubu wanaokula [[mianzi]] pekee.
 
==Tazama pia==
*[[Walamani]]
*[[Walavyote]]