Wikipedia:Mwongozo (Anzisha makala) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 31:
|}
#Kwanza kabisa [[Wikipedia:Mwongozo (Kujisajili)|ujiandikishe]] yaani uhakikishe ya kwamba una akaunti ya jina lako na umeingia kwa jina lako - si lazima lakina tunakushauri ufanya hivyo!
#Afadhali '''uandae makala katika nafasi yako ya mtumiaji'''. Unda humo ukurasa mpya. Hapo fungua ukurasa wako wa mtumiaji, kwa kubofya jina lako linaloonekana juu kabisa kwenye dirisha la Wikipedia. Sasa unaona juu yake mstari wa URL (anwani ya intaneti) kwa mfano hivi: "''<nowiki>https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtumiaji:Kipala</nowiki>''". Sasa ongeza humo nyuma ya jina lako '''/1''', bofya ENTER, utaona skrini mpya ambako unaweza kuchagua "Weka Chanzo" kwa kuunda makala yako ya jaribio. Katika nafasi hii uko huru kujaribu jinsi unavyopenda. Ukiridhika, bofya tena "Hariri chanzo" na hamisha yote kwenye ukurasa wa makala mpya.
#Andika [[wikipedia:jina la makala|jina la makala]] katika uwazi upande wa kulia. Thebitisha kwa kubofya "Anzisha makala yenye jina hili".
#Sasa andika sentensi ya kwanza kwa namna ya kamusi: jina la makala kwa kawaida liwe neno la kwanza / maneno ya kwanza na kuonekana kwa [[Wikipedia:Mwongozo_(Muundo)#Herufi koza na italiki|herufi koza]].