Wikipedia:Mwongozo (Anzisha makala) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 35:
#Sasa andika sentensi ya kwanza kwa namna ya kamusi: jina la makala kwa kawaida liwe neno la kwanza / maneno ya kwanza na kuonekana kwa [[Wikipedia:Mwongozo_(Muundo)#Herufi koza na italiki|herufi koza]].
#Mlango unaofuata katika mwongozo huu unakuelezea namna gani kupanga umbo la makala.
#Chini ya makala weka sehemu ya "Vyanzo" au "Marejeo" na[[Wikipedia:Mwongozo_%28Viungo_vya_Wikipedia%29#Jamii_au_Category|jamii]] chiniinayofaa yake(yaani orodhakundi yala interwikimakala uliyokopizinazojumuiwa kutoka wikipedia ya lughana nyinginekichwa).
# Usisahau kupanga makala yako katika [[Wikipedia:Mwongozo_%28Viungo_vya_Wikipedia%29#Jamii_au_Category|jamii]] inayofaa (yaani kundi la makala zinazojumuiwa na kichwa).
#Bofya "Onyesha hakikisho la mabadiliko" na sasa unaona umbo la makala jinsi itakavyoonekana.
#Fanya masahihisho ya lazima halafu bofya "Hifadhi ukurasa".
[[Picha:Interwiki.jpg|thumb|150px]]
#'''Interwiki''': Unganisha makala iliyohifadhiwa na '''lugha nyingine za wikipedia'''. Afadhali tafuta kwanza kama mada yako inapatikana katika wikipedia kwa lugha nyingine, kama Kiingereza. Kama hakuna, basi acha hatua hii. Kama unajua jina la Kiingereza, endelea hivyo: Chini kushoto unaona alama ya "Lugha", bofya "Ongeza viungo". Katika dirisha "Language" andika "enwiki", katika dirisha "Page" ndika jina la Kiingereza, thibitisha. (unaweza kuunganisha na lugha nyingine kama Kiingereza hamna)
#Sasa fungua tena dirisha la hariri na kuingiza viungo kwa makala zilizopo tayari zinazohusiana na makala mpya (taz. juu).
#Anzisha kila mstari mpya kwenye nafasi ya kwanza. Usiache nafasi tupu mwanzoni mwa mstari mpya. Hii italetata matatizo itaonekana hivyo itasomeka vibaya: