Petro Orseolo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 1:
[[image:San Rocco (Venice) - Statue of Saint Peter Orseolo.jpg|[[Sanamu]] ya Mt. Petro Orseolo, Venezia, Italia.]]
'''Petro I Orseolo, [[Wakamaldoli|O.S.B. Cam.]]''' ([[928]]–[[987]]) alikuwa [[mtawala]] wa [[Venice]], [[Italia]], tangu [[mwaka]] [[976]] hadi [[978]].
 
Hapo alijiuzulu na kwenda kujiunga na [[monasteri]] kwenye [[milima]] ya [[Pirenei]]. Baadaye aliishi kama [[mkaapweke]] sehemu ya jirani.
 
[[Askofu]] [[Arnulfo wa Vic]] alimtangaza [[mwenye heri]] mwaka [[1027]], halafu [[Papa Klementi XII]] alimtangaza [[mtakatifu]] mwaka [[1731]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] [[10 Januari]].
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
Line 4 ⟶ 13:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{Reflist|30em}}
 
==Viungo vya nje==
{{Commons category|Pietro I Orseolo}}
*[http://www.newadvent.org/cathen/11776a.htm Peter Urseolus] at the [[Catholic Encyclopedia]]
*Attwater, Donald and Catherine Rachel John. ''The Penguin Dictionary of Saints''. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. {{ISBN|0-14-051312-4}}.
 
{{mbegu-Mkristo}}
[[Category:Waliozaliwa 928]]
[[Category:Waliofariki 987]]
[[Category:Wanasiasa wa Italia]]
[[Category:Wamonaki]]
[[Category:Wakaapweke]]
[[Jamii:Wabenedikto]]
[[Category:Wakamaldoli]]
[[Category:Watakatifu wa Italia]]