Nuru Inyangete : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 20:
 
==Elimu==
Nuru ana [[shahada]] ya [[uzamivu]] kwenye masomo ya usanifu majengo kwa msaada wa [[kompyuta]]. Pia ana [[shahada]] za [[sayansi]] na usanifu, zote alizipata nchini [[Uingereza]] kati ya miaka [[1983]] - [[1989]].
 
==Kazi==
Nuru ana uzoefu wa miaka zaidi ya 25 katika usanifu na ujenzi. Amefanya kazi nchi mbali mbali zikiwemo [[Uingereza]], [[Nigeria]] na Tanzania. Amekua akifanya kazi kama mbunifu na mkurugenzi wa miladi mbali mbali ihusianayo na usanifu na ujenzi wa makazi, sehemu za biashara, majengo ya taasisi, usanifu wa ndani nasanifu endelevu<ref>https://www.ippmedia.com/en/business/architect-nuru-taking-her-rightful-place-profession</ref><ref>https://www.finance-monthly.com/2018/04/real-estate-and-construction-in-africa/</ref>.
 
Pia ametumikia kwenye bodi za taasisi mbali mbali zikiwemo bodi ya wasanifu majengo ya Tanzania (Architects and Quantity Surveyors Registration Board of Tanzania - AQRB) kama muanzilishi na mwanachama, pamoja na mamlaka ya ununuzi ya Tanzania (Public Procurement Appeals Authority of Tanzania - PPAA)<ref>https://www.ippmedia.com/en/business/architect-nuru-taking-her-rightful-place-profession</ref><ref>https://www.finance-monthly.com/2018/04/real-estate-and-construction-in-africa/</ref>.