Uhifadhi wa fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{umbo}}{{vyanzo}}
'''Uhifadhi wa fasihi simulizi''' ni juhudi zinazofanywa kwa makusudi ya kuhakikisha kazi za [[fasihi simulizi]] zisisahaulike na hatimaye kupotea kabisa.
Kazi za fasihi simulizi zimeanza tangu binadamu walipoanza kupambana na mazingira yao ya kuishi pamoja. Kazi hizo zilisimuliwa na kuakisi shughuli zilizokuwa zikifanywa na watu katika mazingira ya wakati huo. Kadiri mazingira yalivyobadilika hali kadhalika mambo yaliyokuwa yakisimuliwa ndivyo yalivyokuwa yakibadilika. Hivyo, kulikuwepo na haja ya kuhifadhi kazi hizo. Katika kuhifadhi kazi hizo, kuna njia mbalimbali zinazotumika katika kuhifadhi kazi hizo. Njia hizo ni:
 
Kazi za fasihi simulizihizo zimeanza tangu [[binadamu]] walipoanza kupambana na [[mazingira]] yao ya kuishi pamoja. Kazi hizo zilisimuliwa na kuakisi shughuli zilizokuwa zikifanywa na watu katika mazingira ya wakati huo. Kadiri mazingira yalivyobadilika hali kadhalika mambo yaliyokuwa yakisimuliwa ndivyo yalivyokuwa yakibadilika. Hivyo, kulikuwepo na haja ya kuhifadhi kazi hizo. Katikakwa kuhifadhifaida kaziya hizo,vizazi kuna njia mbalimbali zinazotumika katika kuhifadhi kazi hizovipya. Njia hizo ni:
(a) Kichwani/ Akilini
 
Katika kuhifadhi kazi hizo, kuna njia mbalimbali zinazotumika. Njia hizo ni:
(b) Maandishi
 
(a) Kichwani / Akilini
(c) Vinasa sauti
 
(b) Kwa maandishi
(d) Kanda za video, runinga na Tarakilishi
 
(c) Kwa vinasa sauti
'''(a) Kichwani'''
 
(d) Kwa kanda za video, runinga na tarakilishi
Kazi ya fasihi simulizi huwa katika hali ya masimulizi, hivyo mara nyingi huhifadhiwa katika akili ya mtu. Fasihi simulizi ikihifadhiwa kichwani huendelea kuwa hai kwani hadhira na fanani huweza kuwasiliana ana kwa ana. Hadhira huweza kumpongeza au kumhoji fanani papo kwa papo.
''
Udhaifu wa njia hii''
 
'''==(a) Kichwani'''==
- Kusahau
Kazi ya fasihi simulizi huwa katika hali ya masimulizi, hivyo mara nyingi huhifadhiwa katika [[akili]] ya mtu. Fasihi simulizi ikihifadhiwa [[Kichwa|kichwani]] huendelea kuwa hai kwani [[hadhira]] na [[fanani]] huweza kuwasiliana ana kwa ana. Hadhira huweza kumpongeza au kumhoji fanani papo kwa papo.
 
===Udhaifu wa njia hii''===
- Kufa kwa fanani au msimuliaji
- *Kusahau
- *Kufa kwa fanani au msimuliaji
- *Msimuliaji anaweza kuacha mambo muhimu.
 
==(b) Maandishi==
- Msimuliaji anaweza kuacha mambo muhimu.
Fasihi simulizi huweza kuhifadhiwa katika [[maandishi]]. Mfano kwenye [[vitabu]], [[Jarida|vijarida]] na kadhalika. Fasihi simulizi ikihifadhiwa katikak2a njia hii haiwezi haiwei kupotea wala kubadilika. Njia hii inaweza kutunza [[kumbukumbu]] ya kudumu.
 
''===Udhaifu wa njia hii''===
- *Gharama
'''(b) Maandishi'''
- *Hubagua (wale wanaojua kusoma tu)
- *Haipokei mabadiliko ya papo kwa papo.
- *Baadhi ya vitendo havionekani.
 
==(c) Vinasa sauti==
Fasihi simulizi huweza kuhifadhiwa katika maandishi. Mfano kwenye vitabu, vijarida na kadhalika. Fasihi simulizi ikihifadhiwa katika njia hii haiwezi haiwei kupotea wala kubadilika. Njia hii inaweza kutunza kumbukumbu ya kudumu.
Hizi ni zana zinazotumika katika kurekodi [[sauti]]. Mfano wa zana hizo ni tepu rekoda[[tepurekoda]] au [[santuri]]. Katika njia hii, [[ukweli]] wa [[sanaa]] ya kazi haitabadilika, sauti halisi ya [[wahusika halisi]] itaendelea kusikika kama ilivotolewa. Hivyo, fasihi simulizi haipotei wala kubadilika badilikakubadilikabadilika.
 
''===Udhaifu wa njia hii''===
- *Gharama
- *Kutobadilka kulingana na mazingira na wakati.
- *Utendaji wa wahusika hauonekani.
- *Zana hizo zinaweza kuharibika au kupotea
 
==(d) Kanda za video, runinga na /Runinga/Tarakilishi==
- Gharama
Njia hii huweza kutumika katika kurekodi [[picha]] pamoja na sauti kisha kizionyeshakuzionyesha katika [[runinga]] au [[tarakilishi]].
 
''===Udhaifu wa njia hii''===
- Hubagua (wale wanaojua kusoma tu)
- *Gharama
- *Kutobadilika kulingana na mazingira na wakati.
- *Zana hizo zinaweza kupotea au kuharibika.
 
'''==Umuhimu wa kuhifadhi kazi za fasihi simulizi'''==
- Haipokei mabadiliko ya papo kwa papo.
Fasihi simulizi ikihifadhiwa kuna faida mbalimbali zinazojitokeza. Miongoni mwa faida hizo ni:
 
i) ''Kutopotea kwa kazi hizo:'' Fasihi simulizi ikihifadhiwa uwezekano wa kupotea huwa haupo. Kitendo hiki husababisha kazi hiyo iendelee kutumika katika [[jamii]] husika.
- Baadhi ya vitendo havionekani.
 
 
'''(c) Vinasa sauti'''
 
Hizi ni zana zinazotumika katika kurekodi sauti. Mfano wa zana hizo ni tepu rekoda au santuri. Katika njia hii, ukweli wa sanaa ya kazi haitabadilika, sauti ya wahusika halisi itaendelea kusikika kama ilivotolewa. Hivyo, fasihi simulizi haipotei wala kubadilika badilika.
 
''Udhaifu wa njia hii''
 
- Gharama
 
- Kutobadilka kulingana na mazingira na wakati.
 
- Utendaji wa wahusika hauonekani.
 
- Zana hizo zinaweza kuharibika au kupotea
 
'''(d) Kanda za video/Runinga/Tarakilishi'''
 
Njia hii huweza kutumika katika kurekodi picha sauti kisha kizionyesha katika runinga au tarakilishi.
 
''Udhaifu wa njia hii''
 
- Gharama
 
- Kutobadilika kulingana na mazingira na wakati.
 
- Zana hizo zinaweza kupotea au kuharibika.
 
'''Umuhimu wa kuhifadhi kazi za fasihi simulizi'''
 
 
Fasihi simulizi ikihifadhiwa kuna faida mbalimbali zinazojitokeza. Miongoni mwa faida hizo ni:
 
ii) ''Kutunza amali ya jamii:'' Mambo yanayojadiwayanayojadiliwa katika fasihi simulizi ni mambo mbalimbali ambayo ni desturi ya jamii husika. Kitendo cha kuhifadhi kazi za fasihi simulizi husaidia kutunza amali za jamii ili ziweze kutumika kwa vizazi vijavyo.
i) ''Kutopotea kwa kazi hizo:'' Fasihi simulizi ikihifadhiwa uwezekano wa kupotea huwa haupo. Kitendo hiki husababisha kazi hiyo iendelee kutumika katika jamii husika.
 
{{mbegu-fasihi}}
ii'') Kutunza amali ya jamii.''
[[Jamii:Fasihi simulizi]]
Mambo yanayojadiwa katika fasihi simulizi ni mambo mbalimbali ambayo ni desturi ya jamii husika. Kitendo cha kuhifadhi kazi za fasihi simulizi husaidia kutunza amali za jamii ili ziweze kutumika kwa vizazi vijavyo.