Verdiana Masanja : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 5:
|caption =
|mahali pa kuzaliwa = [[Bukoba]], [[Tanzania]]
|tarehe ya kuzaliwa = 12
|utaifa = [[Tanzania|Mtanzania]]
|kazi yake = Mhadhiri na Profesa wa Hisabati
Mstari 14:
}}
'''Verdiana Grace Masanja''' (alizaliwa [[
Tangu [[mwaka]] [[2018]] ni [[profesa]] wa hisabati kwenye Taasisi ya Kiafrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela huko [[Arusha]], Tanzania.
Profesa Masanja pia anajulikana kwa kushiriki katika kuinua wanawake na elimu kwa wanawake.▼
▲Profesa Masanja pia anajulikana kwa kushiriki katika kuinua wanawake na [[elimu]] kwa wanawake.
==Maisha ya awali==
Masanja alizaliwa kwenye familia ya Kashaga mjini Bukoba, [[Kaskazini]] [[Magharibi]] mwa Tanzania karibuni na mpakani na [[Uganda]]. Wakati huo, Tanzania bara iliitwa [[Tanganyika]] na ilitawaliwa na [[wakoloni]] wa
==Elimu==
Line 40 ⟶ 42:
==Viungo vya Nje==
*[https://web.facebook.com/UNCSW/videos/verdiana-masanja-on-women-scientists-in-africa/132086310177482/ Verdiana Masanja on women scientists in Africa, at the expert group meeting on gender, science and technology (UNESCO Headquarters, Paris, 1 October 2010)], tovuti ya facebook, iliangaliwa Desemba 2018
{{mbegu-mtu}}
{{BD|1954|}}
[[jamii:wanawake wa Tanzania]]
|