Wikipedia:Makala kwa ufutaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 125:
==[[Mtu wa kwanza alitoka wapi]]==
Makala imeandikwa zaidi kama insha, si makala ya kamusi elezo. Umbo haulingani na kawaida yetu. Tena sehemu "Sayansi imechunguza viumbehai waliopo ..." imenakiliwa neno kwa neno kutoka https://napradck.blogspot.com/2017/11/binadamu-or-human.html. Makala haitoshelezi masharti ya kamusi elezo. Isahihishwe haraka au kufutwa. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 22:53, 5 Aprili 2020 (UTC)
 
:Ni kinyume: blogu ilinakili sehemu hiyo kutoka kwetu, kwa kuwa niliiandika mwenyewe kutoka kichwani. Kuhusu umbo, tutalirekebisha. --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 08:00, 9 Aprili 2020 (UTC)
 
==[[Petrider Paul]]==