Upatanisho wa imani na sayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
Ieleweke mapema kwamba juhudi hizo hazilengi kutunga au kupitisha [[nadharia]] yoyote katika sayansi, ila kuonyesha uwezekano wa kukubali [[Ukweli|kweli]] zilizothibitishwa na [[utafiti]] wa sayansi pamoja na kweli zilizosadikiwa kwa kupokea [[ufunuo]] wa [[Mwenyezi Mungu]].
 
Juhudi zinapingwa na [[wanasayansi]] wanaoshikilia [[uyakinifu]] na vilevile na watu wenye [[itikadi kali]] katika [[dini]].
 
==Asili ya suala hilo==
Line 11 ⟶ 13:
 
===Katika sayansi===
Sayansi imechunguza viumbehai waliopo [[duniani]] sasa na mabaki ya wale waliokuwepo zamani. Hasa baada ya kugundua [[DNA]] imeweza kuona uhusiano kati ya hao viumbehai mbalimbali. Hivyo imethibitisha kwamba [[mwili]] wa [[binadamu]] na ule wa sokwe imetokana na kiumbehai wa zamani (miaka [[milioni]] 5 au zaidi iliyopita) katika mlolongo wa [[mageuko ya spishi]].

Lakini sayansi haiwezi kusema kitu juu ya [[roho]], kwa sababu si [[mata]], hivyo haipimiki. Zaidi sana haiwezi kusema lolote juu ya Mungu na [[kazi]] yake, kwa sababu si wa [[ulimwengu]] huu. Hata hivyo wapo wanasayansi wengi ambao walisadiki na wanasadiki dini fulani bila shida yoyote.
 
===Katika imani na dini===
Tofauti na [[itikadi kali]] katika dini, kuna mitazamo inayolenga kujumuisha au kupatanisha fikiraujuzi kutoka maeneo haya mawili, yaani imani na sayansi.
Ni kwamba wanaomuamini Mungu kama [[muumba]] wa vitu vyote, vinavyoonekana na visivyoonekana, si lazima wasadiki kwamba aliviumba vyote kama vilivyo sasa<ref name=collins-def>{{cite journal|doi= 10.1038/442110a|pmid= 16837980|title= Building bridges|year= 2006|journal= Nature|volume= 442|issue= 7099|page= 110}}</ref><ref>Stipe, Claude E., "Scientific Creationism and Evangelical Christianity", ''American Anthropologist'', New Series, Vol. 87, No. 1 (Mar., 1985), p. 149, Wiley on behalf of the American Anthropological Association, [https://www.jstor.org/stable/677678 JSTOR]</ref><ref>{{cite book |last1=Collins |first1=Francis S. |title=The Language of God |url=https://archive.org/details/languageofgod00fran |url-access=registration |date=2007 |publisher=Free Press |location=New York |page=[https://archive.org/details/languageofgod00fran/page/200 200]}}</ref>. La sivyo wangeshindwa kueleza kwa nini watu wa leo wametofuatiana hivi kati yao, wakati wanaaminika wote kuwa [[watoto]] wa [[Adamu]] na [[Eva]]. Mabadiliko yaliweza kutokea kadiri ya [[maisha]] na [[mazingira]] yao, na bado yanazidi kutokea: kwa mfano leo watoto wanakuwa warefu zaidi.
 
Line 20 ⟶ 24:
''Evolution Vs. Creationism'', [[Eugenie Scott]], Niles Eldredge, p62-63
</ref>.<ref>{{cite journal|url=https://sites.ualberta.ca/~dlamoure/evolutionary_creation.pdf|title=Evolutionary Creation: Moving Beyond the Evolution vs Creation Debate|first = Denis O.|last = Lamoureux|via=ualberta.ca|journal =Christian Higher Education|volume= 9|pages=28–48|doi = 10.1080/15363750903018231}}</ref>
 
Kwa nini baadhi ya wanasayansi hawaamini kuwa Mungu yupo? Hiyo inatokea kwa sababu sayansi ni ndogo sana kuliko Mungu na haiwezi kuchunguza kila kitu na kupata jibu la moja kwa moja kwa sababu sayansi inapaswa kuthibitisha ujuzi yake kwa kupitia majaribio ya kisayansi. Mungu aliwapa wanasayansi [[akili]] na masikio ya kusikia lakini hawawezi kujua maarifa yote ya Mungu. Yeye ametupa akili za kiasi zisizoweza kumchunguza Mungu zikammaliza.
 
===Katika falsafa===