Owen Chamberlain : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:04, 21 Juni 2006

Owen Chamberlain (amezaliwa 10 Julai 1920) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alifanya utafiti wa fizikia ya kiini na kugundua vipande vingi vya atomu. Mwaka wa 1959, pamoja na Emilio Segre alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.