Teodosi abati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Picha takatifu ya Mt. Teodosi.]] image:Theodosius the Cenobiarch.jpg|thumb|300p...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:57, 9 Aprili 2020

Teodosi abati (Mogarissos, Kapadokia, leo nchini Uturuki, 423 hivi – Yerusalemu, Israeli, 529) alikuwa mmonaki aliyeanzisha na kuratibu maisha ya kijumuia huko Palestina.

Picha takatifu ya Mt. Teodosi.
Picha mbalimbali kuhusu maisha yake.

Pia alishika sana imani sahihi ilivyofundishwa na Mtaguso wa Kalsedonia na kwa ajili hiyo aliwahi kudhulumiwa na serikali ya Dola la Roma Mashariki.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Januari.[1][2]

Tanbihi

  1. Maertyrologium Romanum
  2. Ὁ Ὅσιος Θεοδόσιος ὁ Κοινοβιάρχης καὶ Καθηγητὴς τῆς Ἐρήμου

Vyanzo

Viungo vya nje

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.