Sirili wa Yerusalemu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Saint Cyril of Jerusalem.jpg|thumb|right¢250px|[[Picha takatifu]] ya Mt. Sirili wa Yerusalemu]]
'''Mtakatifu Sirili wa Yerusalemu''' (kwa [[Kigiriki]] Κύριλλος Α΄ Ἱεροσολύμων) aliishi miaka; [[315]] – [[386]] au [[387]].) Alikuwaalikuwa [[askofu]] wa [[mji]] huo nchini [[Israeli]] kuanzia [[mwaka]] [[348]] hadi [[kifo]] chake akijihusisha sana na mabishano kuhusu [[umungu]] wa [[Yesu Kristo]] hata [[dhuluma|akadhulumiwa]] na [[Waario]] na [[serikali]] ya [[Dola la Roma]].
 
Tangu zamani ametambuliwa kuwa [[mtakatifu]] na [[babu wa Kanisa]].
Mstari 6:
Mwaka [[1883]] [[Papa Leo XIII]] alimuongezea sifa ya [[mwalimu wa Kanisa]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila mwaka [[tarehe]] [[18 Machi]].
 
== Maisha ==
Mstari 24:
 
==Maandishi na teolojia yake==
Moyo wake wa kichungaji unaonekana hasa katika [[kitabu]] chake ''Catecheses'', yaani mafundisho 24 kwa [[wakatekumeni]] na kwa Wakristo wapya aliyoyatoa mwaka [[350]] hivi akiwa katika [[Kanisa la kaburiKaburi lana Ufufuo wa Yesu]] na pengine.
 
Humo anawaeleza masharti ya [[ubatizo]], [[uongofu]], [[sakramenti]], mafundisho ya kweli ya [[Ukristo]], [[sala ya Bwana]] na hatimaye ma[[fumbo]] waliyoyashiriki katika [[liturujia]].
Mstari 76:
{{Walimu wa Kanisa}}
 
[[Jamii:Watakatifu wa Israeli]]
[[Jamii:Waliozaliwa 315]]
[[Jamii:Waliofariki 386]]
Line 82 ⟶ 81:
[[Jamii:Mababu wa Kanisa]]
[[Jamii:Walimu wa Kanisa]]
[[Jamii:Watakatifu wa Israeli]]