Yohane II wa Yerusalemu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Yohane II wa Yerusalemu''' ([[356]] hivi – [[10 Januari]] [[417]]) alikuwa [[Patriarki]] wa [[Yerusalemu]] kuanzia [[mwaka]] [[387]] hadi [[kifo]] chake. Alishika nafasi ya [[Sirili wa Yerusalemu|Sirili]] aliyefariki [[386]] (au 387).
[[Wataalamu]] wanazidi kukubali kwamba ''Katekesi za Mafumbo'' zilizosemekana kuwa za Sirili, kumbe ni za kwake.<ref>Paul F. Bradshaw, ''The Search for the Origins of Christian Worship'' 2002 ISBN|0-19-521732-2, pag 113</ref>.
Tangu kale anaheshimiwa na [[Waorthodoksi]] na [[Wakatoliki]] kama [[mtakatifu]].
|