Vita ya wenyewe kwa wenyewe Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{futa}}{{vyanzo}}
[[Picha:Burundi soldiers.png|thumb|Askari wa Burundi.]]
'''Vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Burundi''' ni [[vita]] iliyodumu katika kipindi cha mwakamiaka [[1993]] -[[2005]]. Vita hii ni matokeo ya mgogoro wakati ya [[makabila]] makuu mawili yaliyopoyaliyomo nchini humo. Makabila hayo ni [[Wahutu]] na [[Watutsi]].

Mgogoro huo ulianza baada ya [[uchaguzi]] wa [[vyama vingi]] tangu nchi hiyo ipate [[uhuru]] wake kutoka kwa [[Wabelgiji]] [[mwaka]] [[1962]], vita hiyo ilimalizika baada ya kuapishwa [[Pierre NkurunzinzaNkurunziza]] mwezi wa naneAgosti 2005.

Inakadiriwa [[idadi]] ya watu waliokufa katika vita hiyo ni [[laki]] [[tatu]] (300,000)<ref> "Heavy shelling in Burundi capital". BBC News. April 18, 2008. Retrieved April 27, 2010.</ref>
 
==Historia==
[[Picha:Burundi_in_its_region.svg|thumb|[[Ramani]] ya Burundi.]]
Kabla ya kutawaliwa na utawala wa kikoloni[[wakoloni]], Burundi ilikuwa inatawaliwa na tawala ya kifalme[[wafalme]] ya Kitutsi, sawa na majirani zao [[Rwanda]]. Kwanza [[Ujerumani]] na Baadaebaadaye Ubelgiji, watawala wa kikoloni, waliona ni rahisi kutawala kupitia mfumo wa kiutawala uliokuwepo ili kuendeleza utawala wa Watutsi wachache dhidi ya kabila la Wahutu walio wengi. Kwa ujumla Wabelgiji walitambua tofauti za kikabila zilizopo Burundi na Rwanda kwa mitazamo ifuatayo: [[Watwa]] ambao walikuwa ni wafupi, Wahutu ambao walikuwa na [[kimo]] cha kati na Watutsi walikuwa ni warefu kupita wengine. Wale watu wote ambao walimiliki [[ng'ombe]] zaidi ya kumi walitambulika kama Watutsi.
 
Burundi ilipata uhuru wake mwaka 1962, kwa kujitoa katika [[shirikisho]] la kikoloni na Rwanda. Mwanzoni nchi huru hiihiyo ilitunza utawala wa kifalme. Uchaguzi wa kwanza wa [[vyama vingi]] katika nchi hii ya Burundihiyo ulifanyika Juni [[1993]]. Chaguzi hizi zilitanguliwa na miaka 25 ya utawala wa kijeshi wa Watutsi, akitangulia [[Michel Micombero]], ambaye alifanikisha [[mapinduzi]] ya mwaka 1966 na kubadilisha utawala wa kifalme na kuweka utawlautawala wa kijamuhuri[[Jamhuri|kijamhuri]] unaoongozwa na [[Rais]]. Chini ya utawala wa kijeshi wa Micombero, Watutsi walio wachache waliweza kushika utawala.

Mwaka [[1972]], Wahutu walianzisha shirikisho lao lililoitwa Umugambwe w'Abakozi b'Uburundi au chamaChama cha wafanyakaziWafanyakazi wa Burundi (UBU), ambacho kilipanga na kutekeleza mfumo maalumu wa kuwashambulia Watutsi, kwa madhumuni ya kuwaangamiza Watutsi. Utawala wa kijeshi wa Micombero ulijibu kwa kulipiza [[kisasi]] kwa kiasi kikubwa kwa Wahutu. Idadi kamili ya wahanga haikuweza kutambulika, lakini makadirio ya [[Mauaji ya kimbari|mauaji ya halaiki]] ya Watutsi na ulipizaji wa kiasikisasi wa Wahutu kwa ujumla inasemekana kuzidi 100,000. [[Wakimbizi]] wengi na wanaotafuta hifadhiwatafutahifadhi walikimbilia katika nchi ya [[Tanzania]] na [[Rwanda]].
 
[[Picha:Pierre_Buyoya_at_Chatham_House_2013_crop.jpg|thumb|Meja Pierre Buyoya]]
Mapinduzi ya mwisho yalifanyika mwaka [[1987]] na kumuweka [[afisa]] wa Kitutsi anayeitwa [[Pierre Buyoya]]. Buyoya alijaribu kuweka [[mageuzi]] kadhaa kwa malengo ya kurahisisha utawala wa nchi na kuwezesha upatikanaji wa mijadala ya kitaifa. Badala ya kutatua matatizo, mageuzi hayo yalichochea mivutano ya kikabila pale ambapo Wahutu waliamini kwamba ukiritimba wa Watutsi unafikia mwisho. Katika mivutano hiyo [[wakulima]] wa Kihutu walianza [[uasi]] wa ndani dhidi ya [[viongozi]] wa Kitutsi huko [[mashariki]] yamwa Burundi; hayo [[majeshi]] ya Kihutu yaliua mamia ya [[familia]] za Kitutsi, hivyo jeshi la nchi liliingilia kati na kuanza kupambana na kuua maelfu ya Wahutu, ambapo ilipelekea makadirio ya vifo kufikia kati ya 5,000 na 50,000.

Ubadhirifu wa chini chinichinichini ukaongezeka, na kundi la kwanza la waasi wa Kihutu likazaliwa. Miongoni mwa [[kundi|makundi]] hayo ya waasi ni [[Party for the Liberation of the Hutu People]] ([[PALIPEHUTU - FNL]])na [[National Liberation Front]] ([[FLORINA]]), ambavyo vilifanya kazi kuanzia [[miaka ya 1980]], kati ya vyama hivihivyo viwili, [[PALIPEHUTU - FNL]] kilikuwa na nguvu kuliko [[FLORINA]], lakini waliteseka na mgawanyiko uliokuwepo ndani ya chama.

Wakati mabadiliko ya kidemokrasia yalipoanza nchini Burundi miaka ya mwanzoni mwa [[1990]], kiongozi mkuu wa PALIPEHUTU aliamua kushirikiana na chama cha Wahutu kiitwacho [[Front for Democrancy in Burundi (FRODEBU)]], na kushiriki kwa [[amani]] katika shughuli za kisiasa. Wanachama wenye msimamo mkali wa PALIPEHUTU hawakukubaliana na huuhuo uamuzi. Kinyume chake, FLORINA waliungana kwa dhati chini ya uongozi wa [[Joseph Karumba]], lakini bado walibaki dhaifu na kuwa kundi la kando.
 
==Vita==