Mlangobahari wa Taiwan : Tofauti kati ya masahihisho

Replacing Xiamen_Island,Lieyu_Island_and_Kimmen_Island.JPG with File:Xiamen_Island,_Lieyu_Island_and_Kinmen_Island.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: Criterion 3 (obvious error) ·
No edit summary
(Replacing Xiamen_Island,Lieyu_Island_and_Kimmen_Island.JPG with File:Xiamen_Island,_Lieyu_Island_and_Kinmen_Island.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: Criterion 3 (obvious error) ·)
 
[[File:Taiwan Strait.png|thumb|Ramani ya Mlangobahari wa Taiwan]]
[[File:Xiamen Island, Lieyu Island and KimmenKinmen Island.JPGjpg|thumb|Taiwan Strait]]
'''Mlangobahari wa Taiwan''' (kwa Kiingereza: ''Taiwan Strait'' au ''Formosa Strait'') ni sehemu ya [[bahari]] iliyopo kati ya [[China|China bara]] na [[kisiwa]] cha [[Taiwan]]. Huu ni [[mlangobahari]] unaounganisha [[Bahari ya Mashariki ya China]] na [[Bahari ya Kusini ya China]]. [[Upana]] wake ni [[kilomita]] 180, sehemu nyembamba kabisa km 131.