Mnururisho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Mnururisho''' ([[ing.]] ''radiation'') ni uenezaji wa [[nishati]] kwa njia ya vyembechembe vidogondogo sana au kwa njia ya [[mawimbi]]. Mnururisho huwa na chanzo, mwelekeo usionyoka na kasi.
[[File:Nuru katika spektra 1.jpg|thumb|400px|Nuru inayoonekana kwa macho ni sehemu tu ya mnururisho wa sumakuumeme. Mawimbi ya nuru ni sehemu ya mawimbi mengine ya sumakuumeme]]
 
Mstari 7:
Mnururisho uko kati ya sehemu za fizikia zilizochunguliwa zaidi na sayansi na kupata matumizi mengi katika teknolojia ya kibinadamu.
 
Hata hivyo wataalamu hawana uhakika mnururisho mwenyewe ni nini hali halisi. Kadiri na mbinu za upimaji huonekana mara kama mwendo wa vyembechembe yaani vipande vidogo sana zavya mada (kama vile [[elektroni]] au [[nyutroni]]) na mara kama wimbi yaani mwendo wa nishati isiyo na umbo wa kimada.
 
Mnururisho unaweza kuathiri vitu vinavyoguswa nao. kama nishati yake ni kubwa ya kutosha inaweza kusababisha halijoto kupanda, mabadiliko ya kikemia au pia madhara kwa vitu na viumbe hai.