Unururifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:ISO 7010 W003.svg|thumb|Tangazo: Hapa pana mnururisho hatari!]]
[[Picha:Alphadecay.jpg|thumb|Mbunguo nururifu wa vyembechembe vyaza α.]]
[[Picha:Betadecay.jpg|thumb|Mbunguo nururifu wa vyembechembe vyaza β.]]
 
'''Unururifu''' (kwa [[Kiingereza]] ''radioactivity''; pia: '''mbunguo nururishi''' kutoka Kiingereza ''radioactive decay'') ni [[tabia]] ya [[elementi]] kadhaa ambazo [[kiini cha atomi]] yake si thabiti, bali inaweza kubadilika kuwa kiini cha atomi kingine na katika mchakato huu kinatoa [[mnururisho]]. Wakati wa badiliko atomi inatoa [[vyembechembe nyuklia]]. Mifano ya elementi ambazo si thabiti ni [[urani]] na [[plutoni]].
 
Kwa jumla elementi zote ambazo zina masi kubwa kuliko [[Risasi (metali)|risasi (plumbi)]] ni nururishi. Hizi ni zote katika jedwali la elementi kuanzia namba 83 [[Bismuti]].