Chuo Kikuu cha California : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Chuo Kikuu cha Kalifornia hadi Chuo Kikuu cha California
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:The_University_of_California_1868.svg|right|250x250px| Rangi au Muhuri wa Chuo Kikuu cha California 1868 .]]
[[Picha:University_of_California_Office_of_the_President.jpg|right|thumb| Ofisi ya Rais wa Chuo Kikuu cha California huko [[Oakland, California]] . ]]
'''Chuo Kikuu cha California''' ( '''University of California -''' '''UC''') ni [[mfumo wa elimu]] unaounganisha [[vyuo vikuu]] vilivyo chini ya [[Majimbo ya Marekani|jimbo]] la [[California|California]], [[Marekani]] .
 
Mfumo wote wa Chuo Kikuu cha California huwa na [[wanafunzi]] zaidi ya 220,000 na [[walimu]] pamoja na [[wafanyakazi]] wengine zaidi ya 170,000<ref>[http://www.universityofcalifornia.edu/campuses/welcome.html University of California website]</ref>
 
[[Chuo]] kilianzishwa mnamo [[1868]] kwenye kampasi ya kwanza [[Mji|mjini]] [[Berkeley]].
 
== Kampasi ==
 
* Chuo Kikuu cha California, Berkeley
* Chuo Kikuu cha California, Davis
Line 21 ⟶ 20:
* Chuo Kikuu cha California, Chuo cha Sheria cha Hastings kinasimamiwa kando na mfumo wote wa UC.
 
== Tovuti zinginenyingine ==
 
* [http://www.universityofcalifornia.edu Tovuti rasmi ya Chuo Kikuu cha California]
 
== Vidokezo ==
{{Reflist}}
{{mbegu-elimu}}
[[Jamii:Vyuo vikuu vya Marekani]]
[[jamii:California]]