Biotekinolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:COLLECTIE TROPENMUSEUM Man drinkt bier (pombe) op het bordes van Dr. Thoden van Velzen terwijl kinderen toekijken TMnr 20014576 (cropped).jpg|300px|thumb|Kupika pombe inamaanisha kutumia uwezo wa bakteria ya hamira. Hii ni kati ya matumizi ya kwanza ya biotekonolojia]]
'''Biotekinolojia''' ni aina ya [[tekinolojia]] inayotumia [[elimu]] ya [[biolojia]] kwa manufaa ya [[binadamu]]. Ni [[elimu]] pana sana inayoanza kwenye shughuli za kuchachusha [[mkate]] au [[pombe]] hadi kutumia mitambo ya hali ya juu katika [[maabara]] za kisasa.
 
[[Jina]] latokanalinatokana na [[Neno|maneno]] ya [[Kigiriki]] “βιος”βιος (bios, uhai), “τεγνɳ”τεγνɳ (technee, ufundi) na λογία (logia, elimu).
 
Tekinolojia hii hutumiwa hasa katika [[kilimo]], [[uzalishaji]] wa [[vyakula]] na [[tiba]]. [[Viumbehai]] kama [[mimea]] na [[bakteria]], [[dutu]] za kibiolojia kama [[vimeng'enya]] na kadhalika hutumiwa kwa kupata dutu, [[kemikali]], [[mazao]] na [[bidhaa]] nyingine. Kuna pia maeneo mengine ambako biotekinolojia inafanyiwa majaribio.
Mstari 36:
 
{{Sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}
[[jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Teknolojia]]