Kichunguzi jalada : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|352x352px|Kichunguzi jalada cha [[Linux.]] Katika utarakilishi, '''kichunguzi jalada''' (kwa Kiingereza: File...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:43, 11 Aprili 2020

Katika utarakilishi, kichunguzi jalada (kwa Kiingereza: File Explorer or File manager) ni programu inaotumika ili kutafuta jalada au kabrasha katika tarakilishi.

Kichunguzi jalada cha Linux.

Marejeo

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).