Verdiana Masanja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Picha
dNo edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Mstari 14:
}}
 
'''Verdiana Grace Masanja''' (alizaliwa [[Mji|mjini]] [[Bukoba]], nchini [[Tanzania]], [[12 Oktoba]] [[1954]])<ref>http://mathshistory.st-andrews.ac.uk/Biographies/Masanja.html, iliangaliwa tar. 9 April 2020</ref> ni [[mwanahisabati]] na [[mwanamke]] wa kwanza Mtanzania kupata [[uzamivu|shahada ya uzamivu]] katika [[hisabatiHisabati]].
 
Tangu [[mwaka]] [[2018]] ni [[profesa]] wa hisabati kwenye Taasisi ya Kiafrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela huko [[Arusha]], Tanzania.