Pasaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
better image
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Pessach_Pesach_Pascha_Judentum_Ungesaeuert_Seder_datafox.jpg|thumb|200px|right|[[Meza]] ya Seder yaani Chakula cha Pasaka ya Kiyahudi ikionyesha vitabu vya [[Haggada]].]]
[[Picha:Matthias Grünewald Isenheimer Altar Auferstehung.jpg|thumb|200px|Yesu mfufuka.]]
[[Picha:Easter eggs - straw decoration.jpg|thumb|leftMayai ya Pasaka.]]
[[Picha:Mwaka wa kanisa.jpg|300px|thumb|Mwaka wa Kanisa kadiri ya [[kalenda ya liturujia]] ya [[Roma]] kama kielelezo cha kawaida kwa [[Ukristo wa magharibi]].]]
{{Mwaka wa liturujia}}
[[Picha:Easter eggs - straw decoration.jpg|thumb|left]]
'''Pasaka''' ni [[sikukuu]] muhimu katika [[dini]] za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]]. [[Jina]] la Pasaka limetokana na [[neno]] la [[Kiebrania]] "פסח" (tamka: pasakh).
 
* '''[[Pasaka ya Kiyahudi]]''' ni [[ukumbusho]] wa [[ukombozi]] wa [[Wanaisraeli]] kutoka [[Misri]] wakati wa [[Musa]] mnamo [[miaka ya [[1200 KK]].
 
* '''[[Pasaka ya Kikristo]]''' ni ukumbusho wa [[Ufufuko wa Yesu|kufufuka kwake]] [[Yesu Kristo]] siku ya [[tatu]] baada ya [[Msalaba wa Yesu|kusulubiwa kwake]], mnamo [[Aprili]] [[30]]. Inahesabiwa kuwa sikukuu muhimu kabisa katika Ukristo.
 
Taarifa za [[Agano Jipya]] zinatoa habari ya kuwa kufa na kufufuka kwa [[Yesu]] yametokea wakati wa sikukuu ya Pasaka ya Kiyahudi. Kwa hiyo jina la sikukuu hiyo limeendelea kutumika kwa ajili ya [[sherehe]] ya Kikristo.
Line 24 ⟶ 22:
 
== Majina ya Pasaka ya Kiyahudi na Pasaka ya Kikristo katika lugha mbalimbali ==
Katika [[lugha]] nyingi, asili hii bado inaonekana, ingawa mara nyingi [[umbo]] la [[neno]] ni tofauti kidogo. Jina la sikukuu ya Kiyahudi linapatikana kwa maumbo mbalimbali. Siku hizi mara nyingi umbo la neno la Kiebrania limetumika lakini [[desturi]] katika lugha hizo inaonyesha pia umbo linalofanana zaidi na neno kwa ajili ya sherehe ya Kikristo.
 
{| {{jedwalimaridadi}}
Line 111 ⟶ 109:
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Sikukuu za Uyahudi]]
[[Jamii:Sikukuu za Ukristo]]
[[Jamii:Kalenda]]
[[Jamii:Liturujia]]