Kipindi cha Pasaka : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d corr using AWB |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Mwaka wa kanisa.jpg|thumb|right|300px|Kipindi cha Pasaka katika mwaka wa Kanisa kinaonyeshwa na [[rangi]] ya [[njano]].]]
{{Mwaka wa liturujia}}
'''Kipindi cha Pasaka''' ni kipindi maalumu cha [[mwaka wa Kanisa]] katika [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]].
[[Wayahudi]] wanaadhimisha [[Pasaka]] ya kale, [[ukumbusho]] wa kuvuka pakavu kati ya [[bahari]], kutoka [[utumwa]]ni kuelekea [[uhuru]]. [[Ukristo|Wakristo]] wanaadhimisha Pasaka mpya, ukumbusho wa [[sadaka]] ya [[Agano Jipya]] la milele ambayo pamoja na [[Yesu]] wanavuka toka [[dunia]] hii kwenda kwa [[Baba]]: [[Kristo]] asingefufuka imani hii ingekuwa bure. ▼
▲Ni kwamba [[Wayahudi]] wanaadhimisha [[Pasaka]] ya kale, [[ukumbusho]] wa kuvuka pakavu kati ya [[bahari]], kutoka [[utumwa]]ni kuelekea [[uhuru]]. Kumbe [[Ukristo|Wakristo]] wanaadhimisha Pasaka mpya, ukumbusho wa [[sadaka]] ya [[Agano Jipya]] la [[milele]] ambayo pamoja na [[Yesu]] wanavuka toka [[dunia]] hii kwenda kwa [[Baba]]: [[Kristo]] asingefufuka [[imani]]
Maelezo yafuatayo yanatokana na mpango wa [[Kanisa Katoliki]], lakini kwa kiasi kikubwa yanafaa pia kwa [[madhehebu]] mengine, kama vile [[Anglikana]].
==Adhimisho==
Wakati wa Pasaka hatusomi Agano la Kale kwa kuwa yaliyotabiriwa nalo yameshatimia katika Kristo. Badala yake tunasoma karibu mfululizo [[Matendo ya Mitume]] yanayoelekeza [[safari]] yote ya [[Kanisa]]. Masomo mengine, [[sala]] na nyimbo vinasema hasa juu ya Kristo kufufuka na kuwa nasi na juu ya [[paji]] la [[Roho Mtakatifu]] alilotupatia.▼
Kile cha Pasaka, kikiwa na [[siku]] [[hamsini]], ndicho kirefu zaidi kati ya vipindi vikuu vinne vya [[mwaka]] wa [[Kanisa]] (vingine vikiwa [[Majilio]], [[Kipindi cha Noeli|Noeli]] na [[Kwaresima]]).
▲Wakati wa Pasaka
Katika [[maisha]] ya kawaida watu wanafanya [[sherehe]] mbalimbali, si za [[dini]] tu. [[Sikukuu]] yoyote inatokeza [[furaha]] ya kuishi: usipokuwa na mtazamo wa kuridhika na maisha, kumwaga [[pesa]] katika [[anasa]] hakuondoi [[huzuni]] ya kukata tamaa. Sikukuu yoyote ni [[adhimisho]] la pamoja: inatokana na watu kukubaliana katika kujali mambo fulanifulani au walau kuheshimiana; pia inajenga [[jamii]] kwa kurudisha furaha ya kuwa pamoja.
Kwa Wakristo sherehe kuu kuliko zote ni Pasaka: ndiyo sikukuu yenyewe ambayo inadumu siku hamsini mfululizo hadi [[Pentekoste]] na inaitwa Dominika kubwa. Kwa kweli Pasaka si sherehe mojawapo tu wala kipindi kimojawapo tu katika [[mwaka wa liturujia]], bali ndiyo [[kiini]] chake, kama vile Dominika (Pasaka ndogo ya kila wiki) ilivyo kiini cha [[juma]] zima. Ni adhimisho la [[uzima mpya]] na wa [[milele]]
[[Mang’amuzi]] hayo ya [[imani]]
Kristo amefufuka kweli na
==Viungo vya nje==
Line 21 ⟶ 26:
*[http://web.archive.org/web/20091027095634/http://geocities.com/hashanayobel/christwrit/liturdays.htm Writings on Easter, Eastertide and Lent liturgical days]
*[http://victorcauchi.fortunecity.com/laudslent/easter0.htm Liturgy of Hours of Eastertide]
{{mbegu-Ukristo}}
[[Category:Liturujia]]
[[Category:Mwaka wa Kanisa]]
|