Biti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|383x383px|[[Kumbukumbu linafanyizwa kwa biti 4096.]] Katika utarakilishi, '''biti''' (kwa Kiingereza: Bit) ni kitengo...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:18, 12 Aprili 2020

Katika utarakilishi, biti (kwa Kiingereza: Bit) ni kitengo cha msingi katika sayansi ya tarakilishi na utarakilishi. Biti zinabadilika kati ya 0 na 1.

Kumbukumbu linafanyizwa kwa biti 4096.

Marejeo

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).