Kibembe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Kibembe''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] inayozungumzwa na [[Wabembe]]. Mwaka wa [[1991]] idadi ya wasemaji wa Kibembe nchini [[Kongo]] imehesabiwa kuwa watu 252,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Tanzania]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kibembe iko katika kundi la D50.
 
==Viungo vya nje==