Tofauti kati ya marekesbisho "Kikachchi"

14 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
2001.Uhindi
d (kuondoa kiungo cha ramani using AWB)
(2001.Uhindi)
 
'''Kikachchi''' ni [[Lugha za Kihindi-Kiulaya|lugha ya Kihindi-Kiulaya]] nchini [[Uhindi]], [[Pakistan]], [[Tanzania]] na [[Malawi]] inayozungumzwa na [[Wakachchi]]. Mwaka wa [[2001]] idadi ya wasemaji wa Kikachchi nchini [[India|Uhindi]] imehesabiwa kuwa watu 823,000. Pia kuna wasemaji 50,000 nchini Pakistan. Idadi ya wasemaji nchini Tanzania na Malawi haijulikani lakini ni Waasia wengi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikachchi iko katika kundi la Kiaryan.
 
==Viungo vya nje==