Kingoni : Tofauti kati ya masahihisho

8 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
1987,lugha
d Masahihisho aliyefanya 2A03:2880:21FF:11:0:0:FACE:B00C (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Baba Tabita
Tag: Rollback
1987,lugha
Mstari 1:
'''Kingoni''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Tanzania]] na [[Msumbiji]] inayozungumzwa na [[Wangoni]]. Kimetokana na [[lugha]] ya [[Kizulu]] Wangoni walipohama Afrika ya Kusini wakati wa [[Shaka Zulu]]. Mwaka wa [[1987]] idadi ya wasemaji wa Kingoni nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 170,000. Pia kuna wasemaji 53,000 nchini Msumbiji. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kingoni iko katika kundi la N10.
 
==Viungo vya nje==
6,782

edits