Kingoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
1987,lugha
Afrika
Mstari 1:
'''Kingoni''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Tanzania]] na [[Msumbiji]] inayozungumzwa na [[Wangoni]]. Kimetokana na [[lugha]] ya [[Kizulu]] Wangoni walipohama [[Afrika]] ya Kusini wakati wa [[Shaka Zulu]]. Mwaka wa [[1987]] idadi ya wasemaji wa Kingoni nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 170,000. Pia kuna wasemaji 53,000 nchini Msumbiji. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kingoni iko katika kundi la N10.
 
==Viungo vya nje==