Diamond Platnumz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya John nyambina (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 11:
|Kazi yake = [[Mwimbaji]]
|Aina ya sauti = "Tenor" ya tatu
|Miaka ya kazi = 2009–mpaka2006–mpaka sasa
|Studio = [[Wasafi Records]]
|Tovuti = [https://www.mrtechsite.com/2019/06/Steps-To-Get-Your-Adsense-Approved-Fast.html/ www.diamondplatnumz.com]]
}}
 
'''Naseeb Abdul Juma Isaac''' (maarufu kwa [[jina la kisanii]] kama '''Diamond Platnumz'''; majina mengine ya kisanii ni Chibu dagonte bin ladenna Simba; alizaliwa [[Dar es Salaam]], [[2 Oktoba]] [[1989]]) ni [[msanii]] wa [[Bongo Flava]] na [[dansa]] kutoka [[Tanzania]]. Ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki wa Kitanzania]] ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani dhidi ya [[wasanii]] wa ma[[taifa]] mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndani na nje ya [[Tanzania]]. Inasemekana kuwa msanii wa Mashariki na Kati mwa Afrika anayependwa na kupambwa kwa sasa.
 
Amekuwa na [[nyimbo]] nyingi zikiwa ni pamoja na "Number African beauty ft omarionOne" ambao aliuimba na pia number one pia [[mtaalamu]] wa [[Nigeria]] [[Davido]].
 
Nasibu Juma alishinda tuzo nyingi katika Channel O na Hip-hop Music Awards. Pia alifanya kazi katika Mkutano Mkuu wa Ndugu Afrika Mei [[2012]].
Mstari 24:
Inaaminika kuwa ni msanii anayelipwa kutumbuiza kwenye tamasha kutoka nchini Tanzania kwa bei ya juu kabisa na kwa makampuni ya [[simu ya mkononi]] mwaka [[2013]], pamoja na kuwa kati ya wasanii wanaopata kipato cha juu zaidi katika sekta ya muziki Afrika Mashariki.
 
Aidha msanii huyu amekuwa hasimu mkubwa wa kimuziki na msanii [[Alikiba]] ijapokuwa wote wawili wamekuwa wakikataa uhasama baina yao wakihamishia tuhuma hizo kwa mashabiki. Pia hasimu wake mwingine ni harmonize
 
==Maisha==