Kinyamwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB
2006,lugha
Mstari 1:
'''Kinyamwezi''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Tanzania]] inayozungumzwa na [[Wanyamwezi]]. Mwaka wa [[2006]] idadi ya wasemaji wa Kinyamwezi imehesabiwa kuwa watu 980,000. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kinyamwezi iko katika kundi la F20. Inafanana na [[Kisukuma]].
 
==Viungo vya nje==