Kisukuma : Tofauti kati ya masahihisho
2006,lugha
(2006,lugha) |
|||
'''Kisukuma''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Tanzania]] inayozungumzwa na [[Wasukuma]]. Mwaka wa [[2006]] idadi ya wasemaji wa Kisukuma imehesabiwa kuwa watu 5,430,000. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kisukuma iko katika kundi la F20. Inafanana na lugha ya [[Kinyamwezi]].
==Viungo vya nje==
|