Daraja takatifu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Priestly ordination.jpg|thumb|250px|Askofu
{{Ukristo}}
Katika [[Kanisa Katoliki]] na ya [[Waorthodoksi]] ngazi hizo tatu zinaunda kwa pamoja mojawapo ya [[sakramenti]] [[Saba (namba)|saba]] ambazo [[Yesu Kristo]] alizianzisha na kulikabidhi [[Kanisa]] lake.
Baadhi ya [[Waprotestanti]] wana huduma hizo lakini kwao si sakramenti.
==Jina==
Katika [[Kigiriki]] daraja zinaitwa ''taxeis'', na katika [[Kilatini]] ''ordines'', kwa sababu waliopewa wanaunda ''[[kundi]]'' moja.
==Ibada ilivyo==
Mstari 57:
[[Category:Liturujia]]
[[Category:Sakramenti]]
[[Jamii:cheo]]
|