Tofauti kati ya marekesbisho "Wambunga"
zimbabwe
(zimbabwe) |
|||
Wambunga ni kabila dogo lililotokana na [[Wangoni]] baada ya mfarakano wa viongozi wa makundi yao walioingia katika eneo la [[Tanzania]] ya leo. Hivyo basi Wambunga ni Wangoni maseko (mafiti) walioingia [[Tanganyika]] kupitia [[kusini]] [[mashariki]] mwa [[Ruvuma]] wakiongozwa na [[kiongozi]] wa Wangoni [[Maseko Mputa]].
Baada ya kutoelewana miongoni mwa makundi ya Wangoni kukapelekea [[chuki]] iliyosababisha viongozi wa makundi hayo kuuana wenyewe kwa wenyewe. Hivyo Mputa akauawa, na [[Mwana|mwanae]] Malunda akawa [[mtawala]] wa kundi hilo. Baadaye Malunda akawa na wasiwasi wa [[maisha]] yake kutokana na hali hiyo, hivyo akaamua kurudi na [[kundi]] la Wangoni Maseko katika
Lakini katika hilo baadhi yao waligoma kurudi
Walijulikana kwa [[matamshi]] yao kuwa Wangoni, lakini wao walijiita Wambunga kwani wametokea mlima Mbunga. Hiyo ilitokana na kuchoshwa na [[vita]], maana wote waliwatambua Wangoni kwa kupenda vita, kumbe kwa kusema hivyo wangebaki salama wenyeji wao wasiwadhuru, maana wakati huo Wangoni walishaanza uchokozi wa kivita na [[Munyigumba]], kiongozi wa [[Wahehe]].
|