Samari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Samarium hadi Samari
No edit summary
Mstari 1:
{{elementi
| rangi = #ffa0a0
| jina = Samari
| picha = Samarium-2.jpg
| maelezo_ya_picha =
| alama = Sm
| namba atomia = 62
| mfululizo safu = [[Lanthanidi]]
| uzani atomia = 150,36
| valensi = 2, 8, 18, 24, 8, 2
| densiti husianifu = 7.52
| kiwango cha kuyeyuka= °K 1345
| kiwango cha kuchemka= °K 2173
| kiwango utatu =
| % ganda dunia =
| hali maada = [[mango]]
| mengineyo =
}}
 
'''Samari''' ''(Samarium)'' ni [[Elementi za kikemia|elementi ya kikemia]] yenye alama '''Sm''' na [[namba atomia]] 62, maana yake kuna [[protoni]] 62 katika [[atomu]]. Ni elementi ya [[Metali|kimetali]] yenye rangi nyeupe-kifedha inayooksidisha hewani. Kwenye [[mfumo radidia]] inahesabiwa kati ya [[lanthanidi]].