Wasabato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Wasabato''' ni Wakristo wanaomuabudu Mungu hasa siku ya Sabato, tofauti na walio wengi (99%) wanaoadhimisha Jumapili kama siku ya ufufu...'
 
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Wasabato''' ni [[Wakristo]] wanaomuabudu [[Mungu]] hasa [[siku]] ya [[Sabato]], tofauti na walio wengi (99%) wanaoadhimisha [[Jumapili]] kama siku ya [[ufufuko wa Yesu]].
 
Kati ya [[madhehebu]] ya namna hiyo, maarufu zaidi ni [[Waadventista Wasabato]] ambao wamefikia kuwa [[milioni]] 17 [[duniani]] kote. Waadventista wa sabato wanaamini katika sabato kwakuwa ndilo pumziko pekee alilopumzika mwenyezi Mungu (mwanzo 2:2-3) Mara baada ya kuitakasa siku aliyopumzika lilitoa agizo la kumbukumbu ya kumuheshimu na kuienzi siku hiyo ili iwe ukumbusho na agano la wanadamu kwa Mungu Kama wanavyoamini wasabato . Kanisa hili limeanza rasmi miaka ya 1844 baadhi ya waasisi na waanzilishi wa mwanzo kabisa ni akiwemo Martin Luther King , Ellen G. White , James Miller na wengine wengi. Kanisa la Waadventista wa sabato limejengeka katika misingi (28) ikigawanya katika mafundisho makuu manne.
Kati ya [[madhehebu]] ya namna hiyo, maarufu zaidi ni [[Waadventista Wasabato]] ambao wamefikia kuwa [[milioni]] 17 [[duniani]] kote.
 
{{mbegu-Ukristo}}