Nuru Inyangete : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 17:
 
==Familia==
Nuru nializaliwa mtotokwenye wafamilia ya Lulu Kimbe na Joseph Kizurira Nyerere, mdogo wake [[Mwalimu Julius Kambarage Nyerere]]<ref>http://michuzi2.rssing.com/chan-7007653/all_p44.html</ref> <ref>http://jambotz8.blogspot.com/search?updated-max=2013-02-16T14:09:00%2B03:00&max-results=15&reverse-paginate=true&start=142&by-date=false</ref>. Ni make wa profesa Charles George Inyangete, ambaye walioana tarehe 6/7/1991 huko jijini London nchinin Uingereza. Ni mama wa watoto wawili, Ebony Neema Inyangete (1991) na Eno Melanie Inyangete (1994).
 
==Elimu==
Nuru alipata elimu ya sekondari kutoka shule ya secondary WeruWeru iliyopo Kilimanjaro, Tanzania. Alifaulu vizuri na kuendelea na elimu ya sekondari ya juu shule ya sekondari Tambaza, Dar es Salaam, Tanzania. Ana [[shahada]] ya [[uzamili]] kwenye sayansi ya ujenzi kutoka [https://en.wikipedia.org/wiki/University_of_Strathclyde Chuo Kikuu cha Strathclyde], [[Uingereza]]. Pia alisoma shahada za kwanza 2, moja kwenye usanifu (Bachelor of Architecture) na nyingine sayansi ya usanifu (Bachelor of. Science in Architectural Studies), zote akizipata kutoka Chuo hicho hicho kati ya mwaka [[1987]] na [[1989]].
Nuru ana [[shahada]] ya [[uzamivu]] kwenye masomo ya usanifu majengo kwa msaada wa [[kompyuta]]. Pia ana shahada za [[sayansi]] na usanifu, zote alizipata nchini [[Uingereza]] kati ya miaka [[1983]] - [[1989]].
 
==Kazi==