Moto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Pembetatu moto.png|thumb|[[Pembetatu]] ya moto inaonyesha masharti matatu yanayohitajika kwa moto kuwaka.]]
[[Picha:Streichholz.jpg|thumb|150px|Kiberiti kinawaka.]]
'''Moto''' ni hali ya kuungua haraka kwa [[gimba]] na kutoa [[joto]] pamoja na [[nuru]]. [[Sayansi|Kisayansi]] ni [[mmenyuko]] wa [[Kemia|kikemia]] kati ya [[oksijeni]] ya [[hewa|hewani]] na [[kampaundi]] za [[kaboni]]. Moto ni mfano mkuu wa harakati ya kuoksidisha.
 
Katika [[historia]] ya [[binadamu]] matumizi ya moto yalikuwa hatua kubwa ya kujenga [[utamaduni]]. Watu hutumia moto kwa kupika, kujilinda dhidi ya [[baridi]] na [[giza]], kupeana habari, kuendesha [[vyombo vya usafiri]] na kutengeneza [[umeme]].