Tsung-Dao Lee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:08, 21 Juni 2006

Tsung-Dao Lee (amezaliwa 25 Novemba 1926) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya China; baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza vipande vya atomu na nadharia yake. Mwaka wa 1957, pamoja na Chen Ning Yang alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.